IQNA – Kozi za mafundisho ya Qur’ani zimeanza tena nchini Lebanon kufuatia juhudi za Kituo cha Kimataifa cha Uenezi wa Qur’ani kinachohusishwa na Idara ya Mfawidhi wa Haram Tukufu ya Imamu Hussein (AS) huko Iraq. Kituo hicho kimetangaza kuwa kozi hizo zimeanza upya kupitia matawi yake nchini Lebanon pamoja na kituo cha Dar al-Qur’ani cha Imamu Ali (AS), baada ya mafanikio ya programu za Qur’ani katika vijiji na miji kadhaa ya Lebanon.
Habari ID: 3482167 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/27
IQNA – Haram ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq, imezindua Msahafu wa katika hafla iliyofanyika siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3480322 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/07
Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq utakuwa mwenyeji wa awamu ya pili ya Maonyesho ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu ndani ya wiki chache kuanzia sasa.
Habari ID: 3476364 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/06
Mazungumzo baina ya dini
TEHRAN (IQNA) - Mjumbe wa Umoja wa Mataifa amesema amepata mvuto wa kipekee wa kiroho alipokuwa akitembelea Haram (kaburi) takatifu ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq.
Habari ID: 3476293 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/23
Waislamu Burkina Faso
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha uenezi cha kimataifa chenye mfungamano na Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein (AS) mjini Karbala, Ira kimeandaa duru za Qur'ani na programu za elimu kwa wanafunzi wa shule na vyuo vikuu nchini Burkina Faso.
Habari ID: 3476261 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/17
TEHRAN (IQNA) Kundi la wasomaji na wanaohifadhi Qur’ani Mauritania wametembelea Haram Takatifu ya Imam Hussein AS mjini Karbala, Iraq.
Habari ID: 3474571 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/17